Kasesera unawaaibisha Wanyakyusa.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,227
157,422
Wanyakyusa wanasifika kwa uwajibikaji wao, sio maigizo.

Hebu fanya kazi kwa kutumia akili achana na cheap popularity. Hutakiwi kuyafanya haya uyafanyayo.


Mkuu wa wilaya : Anakula mahindi mabichi alafu anapiga picha anarusha mitandaoni, anavalia official, alafu kiatu kimeng'aa kiwi anapiga nacho picha kwenye jalala akiwa na toroli eti anabeba taka, anakaa chini vumbini na wanafunzi kupiga picha eti ndio ishara ya kujali mateso yao yakukosa madawati, anabeba mabox makubwa kichwani kama wale vijeba wa kushusha magunia.
 
Katika utawala huu wa Magu kuna watu watageuka vichaa kabisa
 
Back
Top Bottom