Kuna habari nyingi sana kuhusu Juma K kutokuchukuliwa tena national team pamoja na kuwa ndio kipa bora Tz, wapo wanaodai alicheka wakati tunachezea kamba nne kule Senegali, pia kuna habari moja sijui imeenea kwa kiasi gani hapa mjini ila inazungumzwa sana sehemu za mikusanyiko ya wanamichezo hasa pale Leaders Club kwamba Juma K na Maximo waligongana kwa demu mmoja ambaye ni mtangazaji wa kituo kimoja cha TV hapa bongo na J Kaseja alimzidi kete Maximo, na hiyo ndo sababu mpaka leo yule bwa mdogo hachaguliwi timu ya Taifa. kuna siku moja Maximo alinukuliwa akisema kwamba suala la Kaseja kutokuitwa timu ya Taifa ni siri yake yeye na Juma Kaseja!