mpalu JF-Expert Member Joined Sep 15, 2010 Posts 2,521 Reaction score 876 Nov 12, 2012 #21 Whisper said: Hivi jana aliitwa Stars? Nitashangaa sana maana siku hizi tuna magolikipa wengi wazuri zaidi yake. Click to expand... hao makipa wazuri wakinani ndugu.....
Whisper said: Hivi jana aliitwa Stars? Nitashangaa sana maana siku hizi tuna magolikipa wengi wazuri zaidi yake. Click to expand... hao makipa wazuri wakinani ndugu.....
Chimo JF-Expert Member Joined Aug 31, 2008 Posts 714 Reaction score 365 Nov 12, 2012 #22 Soma Hii Link Hapo ndio Utajuwa Kama simba ni Wakorofi Kwa asili Na Roho Zao Mbaya Saana STRAIKA: TAZAMA MASHABIKI WA SIMBA TANGA WALIVYOIPIGA KIBERITI JEZI YA YANGA LEO KWENYE UWANJA WA MKWAKWANI... NI SIKU MOJA TU BAADA YA MASHABIKI WENGINE TANGA KULIPIGA MAWE BASI LA YANGA WAKATI LIKIPITA ENEO LA KABUKU NA KUPASUA KIOO!
Soma Hii Link Hapo ndio Utajuwa Kama simba ni Wakorofi Kwa asili Na Roho Zao Mbaya Saana STRAIKA: TAZAMA MASHABIKI WA SIMBA TANGA WALIVYOIPIGA KIBERITI JEZI YA YANGA LEO KWENYE UWANJA WA MKWAKWANI... NI SIKU MOJA TU BAADA YA MASHABIKI WENGINE TANGA KULIPIGA MAWE BASI LA YANGA WAKATI LIKIPITA ENEO LA KABUKU NA KUPASUA KIOO!