happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
mwe!! wewe bwana bado una mafeelings kwake? kuwa mkweli.
alafu huyo hafai kabisa mambo ya matusi ya nini jamani? wanaume tuache tabia hizi mbona kubwagana katika mapenzi kitu common siku hizi. achaneni kwa amani jamani
Block himalinidharau, hakunijali alinitesa sana akawa hataki hata nishike hata sim yake anaiwekea lock nikachoka munga kanisaidia nimempata ninaempenda kagundua hilo ananiandikia msg za matusi eti bado ananipenda!!!! aliniona wa kazi gani mwenzie alinisema atanipata lini?? eti anadai hakunitamkia kama kaniacha so anachojua mimi bado ni mpenzi wake nimfanyeje huyu mtu wapendwa???????????
hahaha shetani akiokoka anakuwa malaika good move ingawa ni kama unaigiza hivi
hahaha shetani akiokoka anakuwa malaika good move ingawa ni kama unaigiza hivi
alinidharau, hakunijali alinitesa sana akawa hataki hata nishike hata sim yake anaiwekea lock nikachoka munga kanisaidia nimempata ninaempenda kagundua hilo ananiandikia msg za matusi eti bado ananipenda!!!! aliniona wa kazi gani mwenzie alinisema atanipata lini?? eti anadai hakunitamkia kama kaniacha so anachojua mimi bado ni mpenzi wake nimfanyeje huyu mtu wapendwa???????????
Yupo ****** a.k.a boya mmoja ananifanya baadhi ya haya unayofanyiwa, nasubiri atulie asahau alonifanyia nimpige kibuti cha moyo kaabisa, full maumivuuuuu
Hahahahah aseee watu kwa visasi lol
Yupo ****** a.k.a boya mmoja ananifanya baadhi ya haya unayofanyiwa, nasubiri atulie asahau alonifanyia nimpige kibuti cha moyo kaabisa, full maumivuuuuu
Jitu lenye jeuri ya uzima dawa yake ni kiburi plus boooooooooooonge la surprise ya kumtenda, yani pale hajategemea ww ndo unalianzisha tena na mtu alomzidi kila kitu ambae yeye wameachana maili 10,000 kwa kila kitu.........siwezi toa chozi langu kwa ajili ya dagaa wa bwawa la nyumba ya Mungu mie, He will pay for my tearssssssss waapi LARA1
Yupo ****** a.k.a boya mmoja ananifanya baadhi ya haya unayofanyiwa, nasubiri atulie asahau alonifanyia nimpige kibuti cha moyo kaabisa, full maumivuuuuu
...khaaaa mijitu ya hivyo naipenda kweli.mie.......
Ningekuwa wewe jinsi ambavyo ningemtiririsha waoaaahi hata akiniona njiani angegeuza njia
mwambie apeleke ujinga wake huko porini asilete ujinga....
Kaona unapendeza na umetulia mapenzini ndo anataka kuja kukuharibia?
Mtiririshe vibaya mno