sirside123 Member Joined Feb 26, 2013 Posts 20 Reaction score 6 Feb 27, 2013 #21 NAHINGA said: Ahsnante mkuu. Ila hz ndio siasa za ccm. Hawapendi kusikia tofauti na wanachokitaka au kukiamini wao. Ila nmependa amefunguka vzr na sasa yuko huru. Click to expand... Yap, ameonesha mfano wa kuigwa kwa wanasiasa wengne wanaopenda maendleo ya nchi, hata km wanatoka chama tawala.
NAHINGA said: Ahsnante mkuu. Ila hz ndio siasa za ccm. Hawapendi kusikia tofauti na wanachokitaka au kukiamini wao. Ila nmependa amefunguka vzr na sasa yuko huru. Click to expand... Yap, ameonesha mfano wa kuigwa kwa wanasiasa wengne wanaopenda maendleo ya nchi, hata km wanatoka chama tawala.
remon JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 295 Reaction score 48 Feb 27, 2013 #22 Ccm ni km inzi anayetua kwenye kinyesi baada muda anasogea pembeni na kuanza kujifuta na baada muda atarudi tena kwny kinyesi
Ccm ni km inzi anayetua kwenye kinyesi baada muda anasogea pembeni na kuanza kujifuta na baada muda atarudi tena kwny kinyesi