Karume: Kwenye demokrasia ya kweli mshindi wa Uchaguzi anatangazwa

Rais mstaafu Amani Karume alishiriki vyema katika kuunda serikali ya Mseto ya Zanzibar na anaelewa vyema tabia za wananchi wa Zanzibar. Anataka demokrasia ichukue mkondo wake na wananchi wajipange kwa uchaguzi wa 2020. Haki ya mgombea aliyeshinda mpeni tujiandae kwa chaguzi zijazo? Hasa vijana ndio mjipange vilivyo katika kukubali demokrasia. Ubaguzi wa aina yoyote mwiko!
 
Watu wana goldfish memory kweli.. Huyo siye yule Rais aliyesababisha mauaji Pemba na unguja 2001? na akasababisha watu kukimbia nje kwenda ukimbizi shimoni na wengine kuishia Somalia? kama mmesahau sisi bado je aliomba samahani kwa mauaji yale? au waliohusika na kuuwa walishtakiwa?
 
Watanzania hatupendi kusikia ukweli .............. kila siku lazima tuna sababu!!
Kwanza aombe Radhi kwa yale mauaji ya ndugu zu mwaka 2001 na familia za waliokufa walipwe fidia hapo tutamuona kama kweli yuko genuine au ni mnafiki tu. baada ya interest zake nyingi alizojikusanyia wakati yupo raisi ziko mashakani hasa viwanja alivyodhulumu watu yeye familia yake avirudishe kwa watu wenye haki yao. alimuweka shejeji yake waziri wa ardhi wamelimbikizia viwanja vya kudhulumu.
 
Watu wana goldfish memory kweli.. Huyo siye yule Rais aliyesababisha mauaji Pemba na unguja 2001? na akasababisha watu kukimbia nje kwenda ukimbizi shimoni na wengine kuishia Somalia? kama mmesahau sisi bado je aliomba samahani kwa mauaji yale? au waliohusika na kuuwa walishtakiwa?
Karume ndiye amri Jeshi mkuu 2001? Tanganyika siyo.
 
Yeye alikuwa ni rais wa Zanzibar na katika mauaji yale vikosi vya SMZ vilishiriki kama KMKM na JKU.na vile vile kama kweli alikuwa muaminifu wa demokrasia ya kweli kwa nini alilifungia gazeti na DIRA baada ya kuwa likitoa habari za uozo wake na dhulma aliyokuwa anaifanya. na kufika kunyang'anya mhariri mkuu wa gazeti uraia
 
NEVER JUDGE THE PRESENT BY THE PAST. PEOPLE DO CHANGE. THUS WHY GOD WORNED US TO JUDGE COZ WE DONT HAVE THAT CAPACITY
 
Watu wana goldfish memory kweli.. Huyo siye yule Rais aliyesababisha mauaji Pemba na unguja 2001? na akasababisha watu kukimbia nje kwenda ukimbizi shimoni na wengine kuishia Somalia? kama mmesahau sisi bado je aliomba samahani kwa mauaji yale? au waliohusika na kuuwa walishtakiwa?
haya yanausina vip na jecha kufuta matokeo
 
Hiyo speech ni ya zamani haihusiani na kufutwa kwa uchaguzi ipo hata kabla ya uchaguzi bado..Demokrasia ya kweli si kutangaza ushinda wa uchaguzi tu. democracy ni packet deal.. ina component nyingi sana nna huwezi kuacha moja na kuchaguwa moja ( huwezi kuwa selective).. Na haki za binaadam ni component kubwa sana ya hiyo democracy
 
Yeye alikuwa ni rais wa Zanzibar na katika mauaji yale vikosi vya SMZ vilishiriki kama KMKM na JKU.na vile vile kama kweli alikuwa muaminifu wa demokrasia ya kweli kwa nini alilifungia gazeti na DIRA baada ya kuwa likitoa habari za uozo wake na dhulma aliyokuwa anaifanya. na kufika kunyang'anya mhariri mkuu wa gazeti uraia

JF imejaa mazuzu na Hii ni ishara tosha kuwa nchi ina mazuzu wengi, hayo aliyafanya kuwafurahisha wenye akili km zako na mko wengi sana Tz
 
Back
Top Bottom