Noncommited
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 1,125
- 369
Shule ya St. Patrick Arusha imepandisha tena ada kwa mwaka 2016. Hata hivyo, ada ambayo ilikuwa inalipwa mwaka huu wa 2015 bado ilikuwa juu. Kila mwaka shule hii inapandisha ada za shule. Na cha ajabu watoto waliyomaliza darasa la saba mwaka huu walilipa ada temu tatu badala ya temu mbili kwani watoto walikaa shule temu mbili tu na wiki ya kwanza ya temu ya tatu wakamaliza shule.
Malipo ya mtoto wa darasa la saba kwa mwaka huu yalilipwa kama ifuatavyo;
temu ya kwanza laki tisa,
temu ya pili laki nane na
temu ya tatu laki nane.
Ada hii ni kubwa sana na inazidi hata baadhi ya ada za shule za binafsi za sekondari. Kimsingi hizi shule hazitoi huduma bali zinafanya biashara. Tunaomba sana serikali na mamlaka husika ifuatilie hizi shule binafsi kwani zinaumiza sana Watanzania. Pia tunaomba serikali itoe bei elekezi kwa hizi shule.
Nina imani na serikali ya rais ​Magufuli kuwa itashulikia swala hili mapema iwezekanavyo kabla ya mwaka huu kuisha.

Wewe unafurahisha kama siyo kusikitisha .... Umwmtoapi mtoto wako shule za Serikali ANZA kata ukampeleka huko kwa hiari yako... Sasa unalalamika nini..?!! Si umwondoe mwanao mpeleke shule unayomudu kulipia. Hujalazimishwa kuacha mtoto wako hapo... Unang'ang'ania kunywa soda Kempiski kwa bei ya mgahawani...!!!!
Mpeleke shule ya serikali kule ni bure kabisa.
sijaelewa, umelazimishwa kupeleka mtoto wako pale? kuna shule za kata unalipa alfu 20 tu, mpeleke huko.Shule ya St. Patrick Arusha imepandisha tena ada kwa mwaka 2016. Hata hivyo, ada ambayo ilikuwa inalipwa mwaka huu wa 2015 bado ilikuwa juu. Kila mwaka shule hii inapandisha ada za shule. Na cha ajabu watoto waliyomaliza darasa la saba mwaka huu walilipa ada temu tatu badala ya temu mbili kwani watoto walikaa shule temu mbili tu na wiki ya kwanza ya temu ya tatu wakamaliza shule.
Malipo ya mtoto wa darasa la saba kwa mwaka huu yalilipwa kama ifuatavyo;
temu ya kwanza laki tisa,
temu ya pili laki nane na
temu ya tatu laki nane.
Ada hii ni kubwa sana na inazidi hata baadhi ya ada za shule za binafsi za sekondari. Kimsingi hizi shule hazitoi huduma bali zinafanya biashara. Tunaomba sana serikali na mamlaka husika ifuatilie hizi shule binafsi kwani zinaumiza sana Watanzania. Pia tunaomba serikali itoe bei elekezi kwa hizi shule.
Nina imani na serikali ya rais ​Magufuli kuwa itashulikia swala hili mapema iwezekanavyo kabla ya mwaka huu kuisha.
Shule ya St. Patrick Arusha imepandisha tena ada kwa mwaka 2016. Hata hivyo, ada ambayo ilikuwa inalipwa mwaka huu wa 2015 bado ilikuwa juu. Kila mwaka shule hii inapandisha ada za shule. Na cha ajabu watoto waliyomaliza darasa la saba mwaka huu walilipa ada temu tatu badala ya temu mbili kwani watoto walikaa shule temu mbili tu na wiki ya kwanza ya temu ya tatu wakamaliza shule.
Malipo ya mtoto wa darasa la saba kwa mwaka huu yalilipwa kama ifuatavyo;
temu ya kwanza laki tisa,
temu ya pili laki nane na
temu ya tatu laki nane.
Ada hii ni kubwa sana na inazidi hata baadhi ya ada za shule za binafsi za sekondari. Kimsingi hizi shule hazitoi huduma bali zinafanya biashara. Tunaomba sana serikali na mamlaka husika ifuatilie hizi shule binafsi kwani zinaumiza sana Watanzania. Pia tunaomba serikali itoe bei elekezi kwa hizi shule.
Nina imani na serikali ya rais ​Magufuli kuwa itashulikia swala hili mapema iwezekanavyo kabla ya mwaka huu kuisha.
babro johnson ya tibaijuka ada milion5 kwa mwaka