hii ni thread special kwa ajili ya wanafunzi wa mzumbe kujuana na kujadili mambo tofauti,pia vyuo vingine mnakaribishwa.kwanza kabisa chuo kitafunguliwa tarehe 14.10,mwenye mengine endelea
Walee wadogo zangu wa mzumbe wanaokuja mzumbe morogoro kwanza karibuni then kama unamaswali ungependa kujua nitafute through this number 0718859577 karibuni sana havard of tanzania
hii ni thread special kwa ajili ya wanafunzi wa mzumbe kujuana na kujadili mambo tofauti,pia vyuo vingine mnakaribishwa.kwanza kabisa chuo kitafunguliwa tarehe 14.10,mwenye mengine endelea
kuhusu mtakaokosa hostel na kuhusu mazingira na mambo mengine kwa ujumla mnaweza mkanitafta kupitia namba hizi 0712 787161 tujue tutasaidiana vip ndugu zangu. ahsanteni!
Mzumbe university is the only university where great administrators are found. For those who are interested on studying administation and management you can join us at Mzumbe university.
#MU