M msabato masalia Senior Member Joined Dec 3, 2008 Posts 118 Reaction score 20 Mar 21, 2013 #1 Sijui ni singo gani inafuata, maana bendi yetu CCM,hawachuji, hizi ni baadhi ya singo za hivi karibuni,kadi 2 za Dr Slaa,mwangosi(RIP), nani achinje,gesi ya ntwara,matokeo ya form 4,kibanda(pole sana), gaidi Lwakatare. Sijui ijayo ni ipi?
Sijui ni singo gani inafuata, maana bendi yetu CCM,hawachuji, hizi ni baadhi ya singo za hivi karibuni,kadi 2 za Dr Slaa,mwangosi(RIP), nani achinje,gesi ya ntwara,matokeo ya form 4,kibanda(pole sana), gaidi Lwakatare. Sijui ijayo ni ipi?