Karibuni tuliotendwa mwaka huu

Ukiona mtu kaondoka ni kwa sababu katika hadithi ama stori yako ya maisha Mwenyezi MUNGU hakumuandika huyo kama muhusika mkuu, ni muhusika mdogo, yeye anaweza kutokea kwenye kurasa chache tu za kitabu cha maisha yako, subiri muhusika mkuu, huyo utakuwa nae kurasa zote, usilazimishe mhusika mdogo awe mhusika mkuu, yeye ni mdogo ndio maana kaondoka!
 
Mungu akubariki sana umenipa nguvu sana
 
Zam yako imefka kubali tu
Wakubwa zako tutshatoka
Huko
 
"...Hakuna mwenye uwezo wa kukuumiza, maamuzi ni yako kuumia au kuukubali ukweli na kuendelea na maisha.... "
 
Good thinker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…