Mkuu pole sana mbona kama umeanza kuchanhamyikiwa?
Karibuni sana wana ukawa bila kukawia tuangalie sana TV pendwa ya taifa letu ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania, japo mnajifanya hamuipendi lakini mkiwa majumbani mwenu mnaingalia na kufuatilia mchakato mzima wa bunge la katiba hasa katika kipindi hiki cha kuhesabu kura, najua mawasiliano yakikata nyie ndiyo wa kwanza kufungua thread hapa ya kulalamika, najua mnaipenda sana TBC1 japo mdomoni mnaiponda, karibuni sana tuangalie TV yetu pendwa ya Taifa msione aibu.
Mbona ruzuku wanaenda kutanulia dubai na israel mnakosa confidence ya kuhoji mpaka mnatolewa vyombo kwa kukosa hela ya pango elf 55 tu?
Out of Topic....Hata kama kodi Yangu ingetumiwa na chadema na viongozi wa chadema vyovyote vile ni sawa kwa sababu naiona kazi wanayoifanya
Sio ninyi majizi msio na haya..wanahizaya nyie...mliokosa radhi za waasisi wa taifa...
Mkuu StarTV wanachukua kutoka TBC1 .
Mkuu kweli huna shukran ccm imekusomesha na kukukuza mpaka leo umefikia hapo ulipo unaongea, je nchi hii ingekuwa kama congo au africa ya kati si ungekufa kabisa?
Mkuu nikuambie ukweli ukawa wako kimaslahi zaidi ndiyo maana mpaka leo hakuna mwenye mamlaka ya kuhoji mapato na matumizi, jaribu kama hawajakuita msariti.
CCM haijawahi kunisomesha mimi wewe kenge
CCM imenisababishia nimeshindwa kwenda shule kwa sababu hakukuwa na shule kijijini kwetu.
Shule ilikua umbali wa kilometa 25 na kutokana na umasikini wa wazazi wangu ambao CCM imeusababisha nilishindwa kusoma.
CCM hii hii imesababisha mtoto wangu wa kwanza kufariki wakati mama yake anajifungua kwa sababu pale kituo cha afya hakuna umeme hakuweza kufanyiwa upasuaji.
CCM imesababisha mimi kuhangaika kubeba mizigo kwenye magari ya wazambia hadi angalau sasa nimeweza kusoma english course....
CCM imesababisha maumivu makubwa sana kwamba sasa hata kipato kidogo ninachopata wanachukua kama kodi....alafu wanatia mifukoni mwao
Sasa mkuu unadhani hawa waroho wa madaraka watakusaidia nini zaidi ya kujinugaisha wao kwa wao poa wanavuruga amani kwa kutujaza chuki mioyoni mwetu na kuondoa upendo uliojengeka baina yetu, fikiria hata kuongoza familia zao tu zimewashinda hawawezi hata kumiliki wake sugu nae ametelekeza mke na mtoto leo nina imani anampango wa kupora mke wa mtu. Je ni picha gani wanaonyesha kwetu kama nyumba tu kuiongoza je nchi wataweza kuiongoza?
Ninachojua ni kwamba kinachosababisha UMASIKINI WA WATANZANIA Ni sera mbovu za CCM...GHicho unachosema chuki hakipo......Ni kwamba ukweli ni kuwa nyie ni wezi wa kutupwa.....Mkiambiwa hivyo sio chuki hio nyie ma maku
Mkuu...Kodi inauma mkuu....Nikiangalia ninavyolip[a alafu maku kama wewe unaenda tu kuila ...hakyamungu lazima one day mtajuta...Tutachoma nyumba zenu moto wewe subiri tu