MONTESQUIEU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 847
- 80
Nyie wachaga wapuuzi sana mnaona xmas iko kwaajili yenu,tabia ya ukabila muache
Siye tushafika .
Miye na kimei tuko hoi leo chai ilikuwa mbege
mbuzi kwenda mbele
karibuni jf,
x mas iko huku!
Jamani mbona tumewakaribisha wote.. X mas iko kwa ajili ya watu wote mkuunyie wachaga wapuuzi sana mnaona xmas iko kwaajili yenu,tabia ya ukabila muache
asante nyie jirambe! Ila mmeondoka na costa,city bus hadi usafiri dar umekuwa issue! Wahi mturudishie usafiri wetu. Yan kimara kivukoni, bugurun kawe,kawe k.koo usafiri kiduchu! Kumbe ndo route za wachaga tumewagundua. Msalimu manka na kekue. Wachanga marafiki zangu ila uwa wananiweka active wakati wa kufanya hesabu za hela,ukizubaha imekula kwako,ukimpunja mtakutana kwako kimara kama sa8 usiku akiwa na zana za kazi! Nakutania mkuu,heri ya 'misa ya yesu' /christmass!
Na hii tabia yao yakusafiri wote huu msimu wamepaisha nauli za moshi na arusha . Mie nilitaka kwenda arusha kikazi mh tiketi ni issue!
mchana supu na kisusio...jioni machalari!
umeona gari ya tem ni kiboko!
foleni ya magari dar imehamia moshi wakuu!
Natamani kipindi chote cha mwaka ingekuwa hivi dar !
Nyie wachaga wapuuzi sana mnaona xmas iko kwaajili yenu,tabia ya ukabila muache
kajinyonge kama una wivu.....:embarrassed::embarrassed: Wivu wa kike!
Haswa! cjamuelewa sasa kwanini nawenyewe wasitengeneze migombani yao kwa ajili ya x mas?
Ndo matatizo ya kuzaliwa mchana wakati wa jua kali huku mvua inanyesha.
Hebu leta bohora moja hapo la mbege yenye mseseve mwingi lol
Na hii tabia yao yakusafiri wote huu msimu wamepaisha nauli za moshi na arusha . Mie nilitaka kwenda arusha kikazi mh tiketi ni issue!