Karibuni katika biashara yangu ya ice lolpop

baby Sarah

Senior Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
138
Reaction score
137
Habar wakuu, Karibun katika biashara yangu ya ice lolpop Au isikrim kama ilivozoeleka, nauza/nachukua Tenda /oda ya isikrim jumla na reja reja jumla nauza kwa shilingi Mia, reja reja kwa shilingi Mia mbili ,bidhaa zangu zipo katika ladha mbali mbali, embe, chungwa, nanasi, strawberry, napatikana kigambon shangwe, karibu Uje uchukue mzigo kwa jumla ukauze kwa reja reja na kupata faida, isikrim zinapendwa sana na watoto hata watu wazima uhakika wa soko 100% ukizingatia na hali ya hewa ya dar es Salaam, karibuni pm kwa Maelezo zaidi
 
safi , napenda sana kuona mwanamke anayejituma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…