Karibuni breakfast

Hapa nina kilo 74,nikila hayo ma vitu si ndo nitafika 100kgs,asante kula tu mwenyewe

Ni nadra sana mwanamke kuwa na kilo zaidi ya 70. Umezidisha mkuu
 
Hahahahahah umechekesha weye kuna mkaka alisema akila mihogo inamsimama tumboni lol

Mihogo ya kuchemsha nachukia kinoma. Ikikaangwa kidogo nitajaribu iwe na ungaunga
 
Ndo maana huna nguvu za kutom,ba wewe...

Unampiga panya road kwa gazeti

Umejuaje mkuu? Inamaana wenye nguvu zote duniani wanakula mihogo? Mbona kuna wanaokula mihogo hawana?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…