Haya tengenezen chama kwanza pori likiisha nibaada ya miaka 15 ndo tutavutika na muache kushambulia upinzan na msiwe karibu sanaa na ccm maana wananch wanawahukumu
Hamna kitu,acha ulaghai.
Nimepiga namba zote za Singida,Manyara,Shinyanga hazipatikani.
Haiwezekani namba zote hizi zikakosekana hewani kwa pamoja!
Propaganda?