Karibu upate magodoro ya Kampuni mbalimbali

Karibu upate magodoro ya Kampuni mbalimbali

Frankdaniel711

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2018
Posts
366
Reaction score
140
Habari mwana jf,

Karibu ujipatie magodoro kwa bei zifuatazo;

NITAANZA BEI YA GSM;
3X6 inch 6 ni 90,000.
4x6 inch6 ni 130,000.
4x6 inch 8 ni 170,00.
5x6 inch 6 ni 145,000.
5x6 inch 8 ni 190,00.
5x6 inch10ni 250,000.
6x6 inch 6 ni 180,00.
6x6 inch 8 ni 220,000.
6x6inch10 ni 340,000.
IZO NDIO BEI ZA MAGODORO YA GSM,

NATAJA BEI YA MAGODORO AINA YA. (TANFOAM);
5X6 inch 6 ni 260,000.
5x6 inch 8 ni 330,000.
5x6 inch 10 ni 420,000.
6x6 inch 6 ni 320,000.
6x6 inch 8 ni 430,000.
6x6 inch 10 ni 520,000.
IZO NDIO BEI ZA ( TANFOAM)

NATAJA BEI ZA (DODOMA/ COMFY/ VITARAHA)
3X6 inch 6 ni 125,000.
4x6 inch 6 ni 170,000.
4x6 inch 8 ni 210,000.
5x6 inch 6 ni 190,000.
5x6 inch 8 ni 240,000.
5x6 inch 12 ni 360,000.
6x6 inch 6 ni 220,000
6x6 inch 8 ni 290,000
6x6 inch 10 ni 350,000. 6x6 inch 12 ni 4000.
IZO BEI ZOTE ZINA INGILIANA KWENYE COMFY,DODOMA, NA VITARAHA ZOTE BEI NI MOJA KWA KILA SIZE.

NATAJA AINA YINGINE YA ( SPRING)
5X6 inch 8 ni 480,000.
5x6 inch 10 ni 700,000.
6x6 inch 8 ni 560,000.
6x6 inch 10 ni 680,000.

NASHUKURU KWA KUPITIA UZI HUU KAMA UNAITAJI GODORO PIGA 0677423349 UKIWA NI MKAZI WA DAR ES SALAAM BASI UTALETEWA HADI NYUMBANI KWAKO NA KISHA UNALIPIA USAFIRI NI BURE OFISI IPO KINONDONI DAR ES SALAAM KAMA UJAELEWA BEI NIULIZE NITAKUJIBU ( Asanteni)
IMG-20200529-WA0044.jpg
IMG-20200529-WA0036.jpg
IMG-20200529-WA0048-scale-2.jpg
 
Mkuu nina mpango wa kutafuta godoro jingine mwezi huu nipo DSM shukran kwa taarifa maana wapigaji wengi siku hiz!! Vipi Tanform ubora wake?? na magodoro gani hapo ni laini laini sio mengine unalala kama unalala kwenye mbao
 
Mkuu nina mpango wa kutafuta godoro jingine mwezi huu nipo DSM shukran kwa taarifa maana wapigaji wengi siku hiz!! Vipi Tanform ubora wake?? na magodoro gani hapo ni laini laini sio mengine unalala kama unalala kwenye mbao
Yote ni mazuri lakin yamezidiana viwango na bei magodoro ya ambayo kila mtu ana weza kupigania bei ni GSM yana ugumu na ubora wa kiaina yake lakin magodoro ambayo ni superbrand ni QFL, COMFY, VITARAHA, TANFOM ndio ivyo mkuu
 
Ni kweli unatumia Simu na sio Laptop, hata hivyo kwa kutumia simu hiyo hiyo ungeweza iweka habari yako kwenye paragraphs ingependeza zaidi....

Asante Mkuu, kwa bei hizi elekezi.
Sawa mkuu
 
Tz hakuna godoro lenye jina "Tanfom/Tanform".
Kuwa makini vinginevyo utaonekana mbabaishaji.
 
Kati ya kampuni moja na ingine ungeweza kuacha nafasi kwa kutumia "ENTER" ikatenganisha paragraph.

Halafu pili tumia mtindo wa "LISTING" pale unapotaja bidhaa mbalimbali. LISTING ni kila bidhaa ikae mstari wake wa peke yake.

Sasa hapa ni kama umevuruga vuruga tu
 
Kusema ukweli nimenunua godoro Dodoma inch 8 mwaka juzi 5x6 yani ni ovyo. Ukilala shimo halirudi juu tena. Yani nagombana na wife kila siku kisa alinishauri ninunue comfy mimi nikawa mbishi sababu comfy tumetumia sana nikasema tubadilishe brand kumbe nimejiroga.
Godoro Dodoma kwa sasa ni fake tu hamna kitu.

Comfy is is the only king in town
 
Kati ya kampuni moja na ingine ungeweza kuacha nafasi kwa kutumia "ENTER" ikatenganisha paragraph.

Halafu pili tumia mtindo wa "LISTING" pale unapotaja bidhaa mbalimbali. LISTING ni kila bidhaa ikae mstari wake wa peke yake.

Sasa hapa ni kama umevuruga vuruga tu
Asante
 
Kusema ukweli nimenunua godoro Dodoma inch 8 mwaka juzi 5x6 yani ni ovyo.
Ukilala shimo halirudi juu tena.
Yani nagombana na wife kila siku kisa alinishauri ninunue comfy mimi nikawa mbishi sababu comfy tumetumia sana nikasema tubadilishe brand kumbe nimejiroga.
Godoro Dodoma kwa sasa ni fake tu hamna kitu.
Comfy is is the only king in town
Ok
 
Mkuu, ni godoro gani ambalo haliwezi kubonyea(huku kwetu tunaitwa "kudabwaa") ukilalia.. Maana mengi ukilalia wiki tu lishaanza tengeneza shimo/mtumbwi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom