Karibu Umeme wa Back-up na Solar

Karibu Umeme wa Back-up na Solar

SNL SOLAR LTD

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
205
Reaction score
26
SNL SOAR LTD ni kampuni ya huduma za Solar, tunatoa huduma za Backup ya Umeme itakayokuwezesha kupata umeme muda wote pale TANESCO inapokata pia tunakupa huduma za Solar nyumbani, ofisini, Makanisani na hata sehemu mbalimbali za miradi mfano ufugaji kuku, ng'ombe n.k. Tunakufuata popote ulipo Tanzania.

Wasiliana nasi 0716485858/0762246488

Instagram: @snlsolarltd

Karibu

NB: Warranty mwaka mzima na free service ya mwaka.
 
SNL SOLAR LTD tunazingatia kutoa huduma za solar na Backup za umeme zenye ubora wa kiwango cha juu. Tunafunga kuanzia system ndogo kabisa zitakazokuwezesha kuwasha taa, kuchaji simu na kuwasha tv pia mifumo mikubwa ya kuwasha nyumba nzima pamoja na kupump maji na kupasi nguo.
Backup za umeme umeme pia tunafunga.
KUMBUKA huduma zetu tunakupa warranty ya mwaka mmoja na kukupa service ya bure mwaka mzima.

Karibu sana.

WASILIANA NASI 0716485858/0762246488
INSTAGRAM @snlsolarltd
FACEBOOK www.facebook.com/snlsolarltd
IMG_2355.JPG IMG_2441.JPG
 

Attachments

  • IMG_2399.JPG
    IMG_2399.JPG
    531.3 KB · Views: 340
Pata huduma bora ya backup ya umeme na warranty ya maandishi.
Tunakufuata popote ulipo kukuhudumia.
Pia tunakupatia huduma za solar na vifaa vitumiavyo solar kwa gharama nafuu.



IMG_2439.JPG

Wasiliana nasi 0716485858/0762246488

Instagram @snlsolarltd
facebook: www.facebook.com/snlsolarltd
 
Vp Kama nnayo betry ya 100AH moja na inverter yenyeuwezo wakuconvert AC To DC,.ya 650
va itafaa?
 
Hebu tuelelimishe kidogo! Mfano nyumba kubwa ya vyumba vinne fridge mbili tv na kadhalika umeme wenye nguvu ya kutosha max unaghalimu shilingi ngapi!?
 
Kiongozi mimi nimefunga Solar power ya 200watt ila haikai kabisa na moto. Betri haijawai kujaa.
Betti ni 200Nh, Solar panel ya 200watt na controller ya 20amps. Je hapo tatizo ni nini? Wire uliofungwa ni 6mm.
 
SNL SOLAR LTD design, supply, installation and maintenance of:
1- Solar Systems
2- Solar Backup Systems
3- Solar Water Heater
4- Solar Fridge and Freezer

NB: warranty after Installation

Please Contact us:
0716485858/0762246488
Instagram: @snlsolarltd
Facebook: www.facebook.com/snlsolarltd
 
masaa 6 mpaka 8 kama vifaa vyote vinafanya kazi iola kama baadhi vimezimwa masaa yanaongezeka.

Why haujibu hiyo comments yangu???


Kiongozi mimi nimefunga Solar power ya 200watt ila haikai kabisa na moto. Betri haijawai kujaa.
Betti ni 200Nh, Solar panel ya 200watt na controller ya 20amps. Je hapo tatizo ni nini? Wire uliofungwa ni 6mm.
 
Why haujibu hiyo comments yangu???
Samahani kwa kuchelewa kukujibu mkuu, comment yako sikuiona kwa bahati mbaya, hapo tatizo ni battery na panel ziko sawa ndio mana haiwezi jaa, atleast ukiongeza ukubwa wa panel ndio battery inaweza jaa kabisa.
ila kila kitu kipo sawa kwa maelezo yako.
 
Samahani kwa kuchelewa kukujibu mkuu, comment yako sikuiona kwa bahati mbaya, hapo tatizo ni battery na panel ziko sawa ndio mana haiwezi jaa, atleast ukiongeza ukubwa wa panel ndio battery inaweza jaa kabisa.
ila kila kitu kipo sawa kwa maelezo yako.

Thanx mkuu now nimekupata. Usijali kaka!!
 
Hebu tuelelimishe kidogo! Mfano nyumba kubwa ya vyumba vinne fridge mbili tv na kadhalika umeme wenye nguvu ya kutosha max unaghalimu shilingi ngapi!?
Milion 9 na nusu,
Utafungiwa panels 8 za mono, inverter ya victron ya 2.5 na batter 8 dry na charge controller ya MPPT
 
SNL SOLAR LIMITED tumejidhatiti kukupatia huduma bora kabisa za uhakika za umeme wa solar pamoja backup za umeme zitakazo kupatia umeme muda wote.

Tunapatikana Kinondoni barabara ya kuelekea manyanya kituo cha VIJANA,

kwa mawasiliano: 0716485858/0762246488
Instagram @snlsolarltd
Facebook: SNL SOLAR LTD
 
for real hawa jamaa wapo vizuri, kama unahitaji security ya kazi yako watafute hawa watu.

Tushafanya nao kazi walitufungia solar system for operating 2hp submersible water pump tulipokuwa tunafanya well drilling maeneo ya mbezi, mteja alitaka hii system kutokana na umeme wao una fluctuate mara kwa mara.

nina kavideo clip yao hapa https://youtu.be/bfarbny4AEo
 
Back
Top Bottom