Karibu uendeshe nasi

Hapo inategemea na mazingira uliyokulia,wengine wamekulia milimani hivyo vitu kama hivi kwao ni kawaida,ila inaogopesha sana.

Mkuu hapana aisee mi mwenyewe nimekulia milimani ila kwa hapo big no....sipiti
 
Chini wapo watu wa huduma ya kwanza itakapotokea la kutokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…