Sawa mkuu umenijibu,lakini nilichotaka mimi ni comparison ya kiwango cha vinegar iliyomo katika ndoo B dhidi ya kiwango cha maji yaliyomo katika ndoo A.tatizo hili swali unalipa mtazamo rahisi saana!Ndoo A ina Vinegar nyingi na ndoo B ina maji mengi.
Acha fujo bushbaby,mentor ni miongoni mwa brain ninazozikubali hapa JF!