Skudu makudubela
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 558
- 1,116
Amina kubwa mtumishi wa bwanaAmina Amina ubarikiwe
Amina mtumishiShalom Shalom taifa la Mungu
Ni usiku tena nawakaribisha katika maombi .Najua mliowengi mnapitia majaribu tofauti tofauti nawakaribisha kila mmoja mwenye uhitaji aandike ombi lake nayo itatendeka kama ulivyoomba.
Tufungue maandiko kidogo kitabu cha Mathayo
Mathayo 7:7-12 BHN
“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni mlango, nanyi mtafunguliwa. Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa. Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe? Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka? Kama basi nyinyi, ingawa ni waovu, mwajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika Baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi: Atawapa mema wale wanaomwomba. “Yote mnayotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo. Hii ndiyo maana ya sheria ya Mose na mafundisho ya manabii.
Nawakaribisha tusali pamoja usiku wa leo.Kwa imani tunaamini maombi yetu yote yatatendeka wakati wa Mungu ndio wakati sahihi
Moods nimetafuta jukwaa la maombi nimekosa na nina hisi upako ndani yangu nikamwaga uzi hapa sebleni
KARIBUNI
UbarikiweAmeen
Na ikawe ivyoAmina mtumishi
Mapenzi yake Mungu yatimie apa duniani kama huko mbinguni
AmenNa ikawe ivyo
Pokea uponyajiAmina , asante sana
Dini ni utapeli tuShalom Shalom taifa la Mungu
Ni usiku tena nawakaribisha katika maombi .Najua mliowengi mnapitia majaribu tofauti tofauti nawakaribisha kila mmoja mwenye uhitaji aandike ombi lake nayo itatendeka kama ulivyoomba.
Tufungue maandiko kidogo kitabu cha Mathayo
Mathayo 7:7-12 BHN
“Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni mlango, nanyi mtafunguliwa. Maana, yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye mlango hufunguliwa. Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe? Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka? Kama basi nyinyi, ingawa ni waovu, mwajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika Baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi: Atawapa mema wale wanaomwomba. “Yote mnayotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo. Hii ndiyo maana ya sheria ya Mose na mafundisho ya manabii.
Nawakaribisha tusali pamoja usiku wa leo.Kwa imani tunaamini maombi yetu yote yatatendeka wakati wa Mungu ndio wakati sahihi
Moods nimetafuta jukwaa la maombi nimekosa na nina hisi upako ndani yangu nikamwaga uzi hapa sebleni
KARIBUNI
Utachomwa kwa uji wa shabaDini ni utapeli tu
nilitaka kushangaa toka juu mpaka hapa kutokutana na comment kama hiyi, mbona ningekata rufaa, bro ushaharibu uzi kwa kualika athesiti wenzako kama mi mwongo ngoja tuone comment zinazofuataDini ni utapeli tu
Saikolojia ya Dini imejengwa kwenye misingi mikuu mitatu Vitisho, Utii na Ahadi.Utachomwa kwa uji wa shaba