NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,286
- 24,003
mtoa mada ndo anamtumia kama rejea ya beki bora hahahahhahahah jamaa anachekesha sanaMechi ya Juzi kule Misri wawa kampiga mtu mateke kusudi..
niliposoma kwamba wawa na onyango ni mabeki bora nikaishia hapo baada ya kukumbuka onyango kupigiza upara chini na kutaka kumdaka miguu T.K master, nkakumbuka wawa alivyo channuliwa miguu kule Sudani nimecheka sana nkafunga na uzi
staili ipi sasa ya onyango kubamiza upara chini ama wawa kuchanulishwa msamba maana hapo kuna staili 2 ujasema ipi sasaDuuuu,kwa staili hii utopolo itaendelea kubaki utopolo
Kabisa mkuu.Kuna vitu ukiviona kwa mchezaji unaweza mpa mda. Sasa mchezaji hawezi kutuliza mpira,kutoa pasi then umpe mda wa nini km sio kuendelea kukaa na "Liability" tu? Kwangu mtu km Nchimbi au Sarpong hawawezi kubadilika hata kama watakaa pamoja miaka 5Mkuu ukweli ni kwamba hao wachezaji wanasema wapewe mda ni eidha wameflop au viwango vyao na mentality siyo vya timu kubwa. Huwezi kaa kwenye timu mwaka hubadiliki wala huoneshi dalili alafu umesainiwa miaka 2, viongozi wanakulipa mshahara + bonuses alafu wachambuzi uchwara wanasema wapewe mda, how? Timu imekuleta uipambanie kwenye season target, sasa wewe unapewa time unableach manywele kutwa tu, uwanjan hata kutuliza mpira shida! Wazungu wapo smart sana, hawavumilii kukaa na liabilities, mfano Samatta Aston Villa.
Unamaanisha makocha ote 4 waliopita Yanga hawajui kufundisha? Tatizo la msingi kabisa la Yanga lipo kwenye ubora wa wachezaji wenyewe. Pia ukiangalia wachezaji wa akiba huoni mtu anaeweza kuleta utofauti uwanjani. Mfano mzuri ni baada ya kutoka Mukoko angalia mtu aliyeingia,ni mbingu na ardhi.Yaliyopita sindwele,lakini kosa kubwa la Yanga ni kuacha wachezaji zaidi ya watano akiwemo papaa Molinga aliyekuwa kinara wa magoli kwenye kikosi cha Yanga mpaka anaondoka.
Kuhusu wing back wa kumwaga maji pale Yanga hakika Juma Abduli aliweza.
Center half bora kabisa mwenye uzoefu wa kuwaongoza wenzie alikuwa ni Yondani anawapanga wenzie vema ndani ya uwanja lakini na yeye alikua anatimiza majukumu yake vizuri.
Kigezo cha ku-draw mechi mfululizo sio cha kuifanya timu kuwa mbaya,ila wakipata kocha mzuri akafanya marekebisho machache mbona yanga itakua ni moto.
Timu ya Yanga ukiangalia kwa macho tu wanavyocheza hata kama sio kocha unaona hawa kwenye mazoezi hawafundishwi kucheza ki timu,wanakwenda kwenda tu.
Yanga si ni timu ya Wananchi? Kuna ubaya Wananchi tukiijadili timu yetu?Kwanini muijadili Yanga na si timu nyingine? Wamewaambia muwasaidie? Timu zingine zote ziko vizuri hadi ipatikane Yanga kama ndiyo ya kuijadili? Wewe ni shabiki wa timu gani?
Hawa wamesaidiwa na Korona.Hawana lolote.Nilijua tuu, hata timu lenu pia bovuu mnaotea otea tu kufunga
Kwani zile kelele za yanga ina ukuta wa chuma unaoongozwa na mwamnyeto bado zipo? Linganisha idadi ya magoli ya kufungwa Kati ya Simba na Yanga, nenda CCL angalia mpaka Sasa kafungwa magoli mangapi, alafu urudi tena hapa kuibeza safu ya ulinzi ya simba.mtoa mada ndo anamtumia kama rejea ya beki bora hahahahhahahah jamaa anachekesha sana
Corona imeisaidia Simba tu sio,au labda na nyie mlikuwa lockdown?Hawa wamesaidiwa na Korona.Hawana lolote.
Kwani Simba imeifunga Yanga lini?Corona imeisaidia Simba tu sio,au labda na nyie mlikuwa lockdown?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu Mimi sikuitaja Simba lakini anyway ngoja nikubaliane na wewe kwamba Ni Simba na swali ulilouliza ni invalid kwakuwa Simba haijafanya lolote dhidi ya Yanga.Simba imefungwa na Prison na Ruvu shooting na iko nafasi ta tatu,Yanga imefungwa mechi moja tu na coastal union na inaongoza ligi.Hapo unasemaje mkuu.Corona imeisaidia Simba tu sio,au labda na nyie mlikuwa lockdown?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasema kwamba, vimba mwananhi vimbaaaaHalafu Mimi sikuitaja Simba lakini anyway ngoja nikubaliane na wewe kwamba Ni Simba na swali ulilouliza ni invalid kwakuwa Simba haijafanya lolote dhidi ya Yanga.Simba imefungwa na Prison na Ruvu shooting na iko nafasi ta tatu,Yanga imefungwa mechi moja tu na coastal union na inaongoza ligi.Hapo unasemaje mkuu.
Ndiyo,we unasemaje?
Utopolo mnateseka sana msimu huu ubingwa hamlambi na msipokua makini azam wanawashusha nafasi ya 3.staili ipi sasa ya onyango kubamiza upara chini ama wawa kuchanulishwa msamba maana hapo kuna staili 2 ujasema ipi sasa
Mbona corona inaisaidia Simba tu haiisaidii taifa stars??Hawa wamesaidiwa na Korona.Hawana lolote.