Karibu tujadili Ubovu wa Yanga kitaalamu.

Yaliyopita sindwele,lakini kosa kubwa la Yanga ni kuacha wachezaji zaidi ya watano akiwemo papaa Molinga aliyekuwa kinara wa magoli kwenye kikosi cha Yanga mpaka anaondoka.
Kuhusu wing back wa kumwaga maji pale Yanga hakika Juma Abduli aliweza.
Center half bora kabisa mwenye uzoefu wa kuwaongoza wenzie alikuwa ni Yondani anawapanga wenzie vema ndani ya uwanja lakini na yeye alikua anatimiza majukumu yake vizuri.

Kigezo cha ku-draw mechi mfululizo sio cha kuifanya timu kuwa mbaya,ila wakipata kocha mzuri akafanya marekebisho machache mbona yanga itakua ni moto.
Timu ya Yanga ukiangalia kwa macho tu wanavyocheza hata kama sio kocha unaona hawa kwenye mazoezi hawafundishwi kucheza ki timu,wanakwenda kwenda tu.
 
Mkuu ukweli ni kwamba hao wachezaji wanasema wapewe mda ni eidha wameflop au viwango vyao na mentality siyo vya timu kubwa. Huwezi kaa kwenye timu mwaka hubadiliki wala huoneshi dalili alafu umesainiwa miaka 2, viongozi wanakulipa mshahara + bonuses alafu wachambuzi uchwara wanasema wapewe mda, how? Timu imekuleta uipambanie kwenye season target, sasa wewe unapewa time unableach manywele kutwa tu, uwanjan hata kutuliza mpira shida! Wazungu wapo smart sana, hawavumilii kukaa na liabilities, mfano Samatta Aston Villa.
Kabisa mkuu.Kuna vitu ukiviona kwa mchezaji unaweza mpa mda. Sasa mchezaji hawezi kutuliza mpira,kutoa pasi then umpe mda wa nini km sio kuendelea kukaa na "Liability" tu? Kwangu mtu km Nchimbi au Sarpong hawawezi kubadilika hata kama watakaa pamoja miaka 5
 
Yaliyopita sindwele,lakini kosa kubwa la Yanga ni kuacha wachezaji zaidi ya watano akiwemo papaa Molinga aliyekuwa kinara wa magoli kwenye kikosi cha Yanga mpaka anaondoka.
Kuhusu wing back wa kumwaga maji pale Yanga hakika Juma Abduli aliweza.
Center half bora kabisa mwenye uzoefu wa kuwaongoza wenzie alikuwa ni Yondani anawapanga wenzie vema ndani ya uwanja lakini na yeye alikua anatimiza majukumu yake vizuri.

Kigezo cha ku-draw mechi mfululizo sio cha kuifanya timu kuwa mbaya,ila wakipata kocha mzuri akafanya marekebisho machache mbona yanga itakua ni moto.
Timu ya Yanga ukiangalia kwa macho tu wanavyocheza hata kama sio kocha unaona hawa kwenye mazoezi hawafundishwi kucheza ki timu,wanakwenda kwenda tu.
Unamaanisha makocha ote 4 waliopita Yanga hawajui kufundisha? Tatizo la msingi kabisa la Yanga lipo kwenye ubora wa wachezaji wenyewe. Pia ukiangalia wachezaji wa akiba huoni mtu anaeweza kuleta utofauti uwanjani. Mfano mzuri ni baada ya kutoka Mukoko angalia mtu aliyeingia,ni mbingu na ardhi.
 
Kwanini muijadili Yanga na si timu nyingine? Wamewaambia muwasaidie? Timu zingine zote ziko vizuri hadi ipatikane Yanga kama ndiyo ya kuijadili? Wewe ni shabiki wa timu gani?
Yanga si ni timu ya Wananchi? Kuna ubaya Wananchi tukiijadili timu yetu?
 
mtoa mada ndo anamtumia kama rejea ya beki bora hahahahhahahah jamaa anachekesha sana
Kwani zile kelele za yanga ina ukuta wa chuma unaoongozwa na mwamnyeto bado zipo? Linganisha idadi ya magoli ya kufungwa Kati ya Simba na Yanga, nenda CCL angalia mpaka Sasa kafungwa magoli mangapi, alafu urudi tena hapa kuibeza safu ya ulinzi ya simba.

Yanga msipoangalia hata nafasi ya pili itakuwa ni ndogo kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona imeisaidia Simba tu sio,au labda na nyie mlikuwa lockdown?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu Mimi sikuitaja Simba lakini anyway ngoja nikubaliane na wewe kwamba Ni Simba na swali ulilouliza ni invalid kwakuwa Simba haijafanya lolote dhidi ya Yanga.Simba imefungwa na Prison na Ruvu shooting na iko nafasi ta tatu,Yanga imefungwa mechi moja tu na coastal union na inaongoza ligi.Hapo unasemaje mkuu.
 
Nasema kwamba, vimba mwananhi vimbaaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
staili ipi sasa ya onyango kubamiza upara chini ama wawa kuchanulishwa msamba maana hapo kuna staili 2 ujasema ipi sasa
Utopolo mnateseka sana msimu huu ubingwa hamlambi na msipokua makini azam wanawashusha nafasi ya 3.
 
Back
Top Bottom