bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,682
Joanhan, Miss natafuta, richaabra, Monica na Paprika jiandae ujio mpya wa MASAI DADA hauwezi kuwaacha juu lazima mpromoke aisei hapa JF.
Siku hizi kuna wadada maandagraundi kibao km kwenye mambo yetu ya kupekenyua wanajifanya kuyajua mpaka wakongwe km misschagga, madam B na Evelyn Salt wakawa wamepotezwa ila nimeona EXPERT wangu MASAI DADA karudi jf. Miaka sasa km mitatu au miwili hivi sijamuona wala kumsikia.
Karibu tena mpenzi wangu!