Imposibo_ JF-Expert Member Joined Feb 1, 2016 Posts 2,746 Reaction score 2,125 Feb 28, 2017 #1 Karibisha ndugu jamaa na wahamie smart na namba zao zilezile za mitandao mingine wapate kuongea BURE mwaka mzima na gharama nafuu kupiga Simu mitandao mingine kwa bei nafuu zaidi.
Karibisha ndugu jamaa na wahamie smart na namba zao zilezile za mitandao mingine wapate kuongea BURE mwaka mzima na gharama nafuu kupiga Simu mitandao mingine kwa bei nafuu zaidi.
ymollel JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 3,095 Reaction score 2,291 Feb 28, 2017 #2 Hili suala la kuhama mtandao linakuaje? Sijapata mtaalamu wa kunielewesha kila kitu including gharama za ziada
Hili suala la kuhama mtandao linakuaje? Sijapata mtaalamu wa kunielewesha kila kitu including gharama za ziada