The king 07 JF-Expert Member Joined Sep 6, 2013 Posts 1,254 Reaction score 2,998 Oct 20, 2016 #2 hahaha,,.ipo wap restaurant hiyo
super nova JF-Expert Member Joined Aug 12, 2014 Posts 1,478 Reaction score 1,099 Oct 20, 2016 #3 fasi ya dwasii..kama sio kigamboni hiyo zenji...
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Joined Aug 19, 2012 Posts 1,340 Reaction score 1,378 Oct 20, 2016 #4 Majigambo ya biashara za kinaijeria!
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 21,295 Reaction score 49,342 Oct 20, 2016 #5 super nova said: fasi ya dwasii..kama sio kigamboni hiyo zenji... Click to expand... Kwa hilo jiwe, design ya ukuta, namba ya simu! Nashawishika kusema hiyo ni Unguja
super nova said: fasi ya dwasii..kama sio kigamboni hiyo zenji... Click to expand... Kwa hilo jiwe, design ya ukuta, namba ya simu! Nashawishika kusema hiyo ni Unguja
essaugervas JF-Expert Member Joined Jun 25, 2016 Posts 580 Reaction score 281 Oct 20, 2016 #6 ha ha ha
Dr Simba JF-Expert Member Joined Apr 27, 2016 Posts 997 Reaction score 1,245 Oct 20, 2016 #7 Apo ni jambiani znz!!!
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,130 Reaction score 48,862 Oct 20, 2016 #8 Hiyo ni Zanzibar
Apollo JF-Expert Member Joined May 26, 2011 Posts 4,921 Reaction score 3,250 Oct 20, 2016 #9 Hahaha. Hapo ni Jambiani Zanzibar. Niliona hiyo post nikatembelea restaurant ipo normal tu, pweza mpaka kuagiza. Nikagundua hakuna uhusiano kati ya post na restaurant. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha. Hapo ni Jambiani Zanzibar. Niliona hiyo post nikatembelea restaurant ipo normal tu, pweza mpaka kuagiza. Nikagundua hakuna uhusiano kati ya post na restaurant. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]