Karibu lunch hapa rokisiti

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,315
Mwanza raha sana
 

Attachments

  • 1427536907511.jpg
    49.3 KB · Views: 784
Mwanza raha sana
we jamaa unaonekana mlaji vibaya sana, inaonekana matonge huwa unakata makubwa sana, picha inajieleza...hahaha. ok, nikija kwenye topic, zamani hapa mwanza hali haikuwa kama sasaivi, najua hapo huyo samaki na ugali umelipa si chini ya alfu kumi, samaki wamepungua na wamepanda bei sana. zamani ulikuwa unamla samaki mkubwa na ugali wako mwekundu au dona etc kwa bei ndogo sana na kama ndio mlafi wa samaki ungekula fish kila siku.
 
Mwanza raha sana

Aisee wewe sijuwi unakula vichochoro vya wapi, nikiwa Mwanza kama samaki hajazidi ukubwa wa ugali mi sili asee! sasa wewe kasamaki gani hako unakula, furu?
 
Aisee wewe sijuwi unakula vichochoro vya wapi, nikiwa Mwanza kama samaki hajazidi ukubwa wa ugali mi sili asee! sasa wewe kasamaki gani hako unakula, furu?

Kwa hiyo mkuu unataka lazima unapokula wewe kila mtu ale apo apo?
Wengine watawauzia wapi?
Hapo ni jirani na villa park wanapaita the kiss
 
Mimi kwenye bamia sihami natulia hapohapo hadi ugali utakapoisha siruki popote.

Hizo sahani tatu pamoja na kijiko waniondolee
 
...misosi kama hii ndio inakufanya mtu ukumbuke home
 
Kwa hiyo mkuu unataka lazima unapokula wewe kila mtu ale apo apo?
Wengine watawauzia wapi?
Hapo ni jirani na villa park wanapaita the kiss

Hahahaa, wala sijasema huwa nakula wapi, mimi huwa naangalia ukubwa wa samaki tu, hapo naona posheni yao ya samaki wanabana, kwani wanauza bei gani ugali samaki choma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…