Karibu kwetu.

Ranks

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
2,583
Reaction score
1,098
Karibu kijijini kwetu tumalizie mapumziko ya Pasaka.
 

Attachments

Ndio mkuu kijijini kwetu huku,home ni hapo kwenye kichuguu bado tunaishi maisha ya kijima.
 
Huko kwenye kichuguu kuna kumbikumbi??
Acha maskhara,kumbikumbi tena wakati twaishi sie!!!
Au wamaanisha twaishi na kumbikumbi?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…