Karibu kwenye fursa crowdrising

Weka maelezo yote hapa otherwise hutapata MTU
Watu wameshachoshwa na forever living business mara Rifalo watu hawataki we elezea hapa mambo yote
 
RUBISH
 
OK umesomeka mkuu offisi zenu zipo wapi au ofisi ndio mtandao??
 
Naunga mkono hoja...nenda kwa waziri na umpe huu ujumbe labda anaweza akapata altenative ya kuipatia serikali ela.
 
kwa hali ilivyo tete bado mnataka tena 20,000/= zetu kama ni deal kweli ndugu zako wangapi pamoja na wewe mmetajirishwa?
 
kwa hali ilivyo tete bado mnataka tena 20,000/= zetu kama ni deal kweli ndugu zako wangapi pamoja na wewe mmetajirishwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji100] [emoji125] [emoji100]
 
Haya tena KUMEKUCHA!!!! MAZUMBUKUKU. NA MAZEZETA SAA YA KULIWA NI SASA!! YALEYALEEEE!!
 
Utaozea Jela!!
Kila rakheli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…