Karibu katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi, Unapoingia katika hifadhi hiki ndicho kibao ambacho kitakukaribisha.
Uwapo katika Hifadhi hii utakutana na Twiga wazuri ambao wana Rangi ya aina yake ambapo ndani yake wapo weupe. Eneo ambalo lipo wazi litakufanya uwaone wanyama kwa uzuri na kwa urahisi kabisa Swala wa kuvutia wapo katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi Miti mizuri yenye uoto wa asili pia ipo katika Hifashi ya Taifa ya Katavi Uwamo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Katavi utakutana na nyumba ndogo ndogo ambazo kwa uhalisia zinapendeza na watu wengi hupenda kukaa humo kuona uhalisia kabisa wa Mbuga hiyo . Huu ni mto ambao upo ndani ya hifadhi ya Taifa ya Katavi mto huo una Mamba wa kutosha, watu wengi hupenda kutembelea hapo ili kujionea mamba hao. Ukiangalia kwa umakini utaona kuwa ndani ya maji kuna mamba hao pia pembeni upande wa kushoto kuna Mamba wamepumzika Moja ya Mamba aliyepigwa picha kwa ukaribu zaidi...