Karibu katika bustani yangu

Dx and Rx

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
1,324
Reaction score
3,155
Je, ungependa nikuchumie tunda gani?

1.Nanasi- aliye bora zaidi.

2.Ndizi- mahusiano ya dhati.

3.Embe- upendo wa kudumu.

4.Chungwa- mimi na wewe milele.

5.Apple- mapenzi ya moyoni

6.Limao- usaliti.

7.Pera- uaminifu wa kweli.

8.Parachichi- mapenzi ya muda.

9.Pasheni- urafiki wa kawaida.

10.Papai- asiye wa muhimu sana.

Mwenzio nasubiria tunda utakalo nikugawie.
 
Kuna binti yupo form two Oysterbay napepea moto ili akifika form six nioe.

Ndiyo ana mtindo wa kunitumia sms za hivi. Yaani nilikua nasoma huku sura yake inatamalaki akilini mwangu
 
Mkuu lengo la kuandika hivi ni nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…