Karibu chinaworldbuz company.

jluvanda

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
66
Reaction score
5
Habari mtanzania! Natumaini umzima wa afya njema! Kwa sasa kampuni ya chinaworldbuz company tupo nchini Tanzania. Kwa sasa tupo mkoani Arusha kwanzia tarehe 20-21 mwezi huu wa January 2014 kwa ajili ya kutoa elimu kuhusu kampuni yetu kwa wajasiliamali au wafanyabiashara wanaotaka kupata bidhaa zilizo bora kutoka china. Karibu sana!
 

Safi sana, vipi mwanza mnakuja lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…