Kariakoo soft (ku-unlock simu aina zote buree)

IMEI : 357773069436658
SVN: 160HEG1
Vodafone

S/N : B1400017C2D08KEX
 
GUYS MNAPOTUMA CODE MSITUME SVN BALI TUMENI NETWORK PROVIDER CODE KWA 2AVDTZ1 INAPATIKANA NYUMA YA BATTERY
 
SASA HIVI NIPO HEWAN NAWEZA KUUNLOCK SIMU ZENU
 
Mk
hiyo simu inahitaji direct unlock kamavipi unawezachukua nambatukawasiliana
Mkuu unaogopa nini?
kwanini usiweka namba hapa watu walio Dar wakakutafuta,Au sehumu/Ofisi unapopatikana...Kusema tuu kuwa upo Kariakoo haitoshi...Kariakoo kubwa sana sana...
nakupataje?
 
mkuu kuna tecno h3 ipo kabatini, hii simu niliroot halafu baadaye nikaharibu, nikaipeleka kwa fundi aiflash akahangaika nayo akanambia kila file analodownload halisomi, nikaichukua nikarudi nayo home, nikaendelea na utundu wangu nikataka nifanye hard reset lakini imegomea sehemu nimeishindwa nikaiweka kabatini, vipi unaweza kuifungua mkuu
 
Mkuu mimi nina Tecno H6 yangu hapa zile za Tigo ImeI no. 355945062842189
Vipi unaweza kuiunlock pia?
 
Mkuu swali langu hujajibu..refer page2
 
MODEL: Huawei Y530-U00
IMEI: 864921021344553
S/N: C2ZBY14B21014282

TIGO Locked
 
LAKN UNAPOTUMA IMEI NAMBA HAKIKISHA UNATUMA KAMA IFUATAVYO
IMEI:3594546424954659
2ADVTZ1
HYO NAMBA YA CHINI INAPATIKANA BAADA YA KUANGALIA IMEI NUMBER ZINAKUJA NUMBER NA MCHANGANYIKO WA TARAKIMU KWA CHINI
kwa huawei y330 mbona naona imei tu
 
JAMAN KWA LEO NIPO HAPA KUTOA UNLOCK CODE ZA NETWORK LOCK NAMAANISHA SIM AMBAZO ZINATUMIA LINE YA MTANDAO MMOJA 2
MIMI NAPATIKANA KARIAKOO
GUYS NI MUDA MUAFAKA WA KUTUMIA HII CHANZE MNAKARIBISWA WOTE
JAMAN KWA LEO NIPO HAPA KUTOA UNLOCK CODE ZA NETWORK LOCK NAMAANISHA SIM AMBAZO ZINATUMIA LINE YA MTANDAO MMOJA 2
MIMI NAPATIKANA KARIAKOO
GUYS NI MUDA MUAFAKA WA KUTUMIA HII CHANZE MNAKARIBISWA WOTE
 
Ndio inawezekana fika ofcn mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…