Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,441
- 33,999
- Thread starter
-
- #61
Gangongine,SIJAKUTUSI KAKA. ILA NASEMA KAMA UNA TAKWIMU AU HUJAFANYA UTAFITI HUNA HAKI YA KUBISHANA NA MTU HAPA DUNIANI. HIVYO VITABU HAVISAIDII KUJUA TATIZO LA WAISLAM KUBAKI NYUMA. ILA HIZO TAKWIMU ULIZOKATAA KUWEKA JAMVINI ZINATOA MAJIBU KUHUSU KIINI CHA TATIZO. VINGINENVYO UTABAKI UNALALAMIKA MILELE NA PENGO LITAZIDI KUKUA HATUA ZISIPOCHUKULIWA!! SIBISHANI TENA NAWE MAANA UNATOA HADITHI TU HAPA!! KWA MFANO VITABU VYOTE HIVYO VINATOA TAKWIMU LINGANIFU ZIKIONESHA JINSI WAISLAM WALIVYOACHWA NYUMA. LAKINI HAZIELEZI KIINI CHENYEWE NA JINSI YA KUREKEBISHA!!
Gangongine,KAMA UNANIELEWA VIZURI NAKUBALIANA KABISA NA HOJA KWAMBA WAISLAM WAMEACHWA SANA NYUMA TENA KATIKA MAENEO MENGI TU. ILA NITAPINGA SABABU ZA KUACHWA KWAO NYUMA KWAMBA ZIMECHANGIWA NA SERIKALI AU WATU FULANI KWA HILA ZAO. MCHANGO WA WATU FULANI NA SERIKALI (KAMA WAMECHANGIA NI PUNJE TU). NDIO TUJADILI SABABU KUU HIZO!!
NIMEWASOMA WOTE HAO NIKAKUTA MALALAMIKO TU. TENA KAMA NJOZI NDIO HAMNA KITU KABISA NI ULALAMISHI TUPU. HAJAELEZA STATUS YA WAISLAM KIELIMU NA NYANJA NYINGINE NA KWA NINI WAPO HAPO. HAKUNA TAKWIMU ZA ULINGANIFU NA MADHEHEBU MENGINE KATIKA NYANJA MBALIMBALI. KAMA AMBAVYO WEWE UNAOGOPA KUZITOA HAPA KWA KUJUA UTASHINDWA MJADALA HUU! RESEARCH INAKWENDA NA TAKWIMU. NDIO NAZISUBIRI NA HII NI MARA YA NNE LAKINI UNAKWEPA!! HUKU NDIO KUSHINDWA KWAKO!Gangongine,
Umererejea mara tatu kunifafanulia kuhakikisha kuwa nimekufahamu.
Wala hapakuwa na haja.
Nimekuelewa mara ya kwanza.
Nami narejea tena kwako.
Huna ujuzi wa kutosha kujadili somo hili.
Ukitaka ujadili somo hili soma rejea hizi:
Hao ndiyo wasomi watafiti waliolizungumza tatizo hili.
- P van Bergen (1981)
- J. Sivalon (1992)
- Hamza Njozi (2002)
Wewe hujafanya utafiti wowote na kama ulivyosema, ''No research no right
to speak.
Lakini ukipenda unaweza ukamsoma na M. Said (1998).
Gangongine,NIMEWASOMA WOTE HAO NIKAKUTA MALALAMIKO TU. TENA KAMA NJOZI NDIO HAMNA KITU KABISA NI ULALAMISHI TUPU. HAJAELEZA STATUS YA WAISLAM KIELIMU NA NYANJA NYINGINE NA KWA NINI WAPO HAPO. HAKUNA TAKWIMU ZA ULINGANIFU NA MADHEHEBU MENGINE KATIKA NYANJA MBALIMBALI. KAMA AMBAVYO WEWE UNAOGOPA KUZITOA HAPA KWA KUJUA UTASHINDWA MJADALA HUU! RESEARCH INAKWENDA NA TAKWIMU. NDIO NAZISUBIRI NA HII NI MARA YA NNE LAKINI UNAKWEPA!! HUKU NDIO KUSHINDWA KWAKO!
BASI BWANA SITAPOTEZA MUDA KUBISHANA NAWE. HUNA HOJA ZA MSINGI ZAIDI YA UBISHI TUGangongine,
Sijakwepa kitu ninakujibu kadri ya uwezo wangu.
Nami nina maswali naomba nikuulize.
Ikiwa Njozi hamna kitu ni sababu ipi ilifanya serikali ikipige
marufuku kitabu chake iwe kosa la jinai kukutwa na kitabu
hicho?
Sababu gani halikadhalika wachapaji wa kitabu cha Sivalon
wakitoe kitabu kwenye mzunguko na hali kadhalika Bergen?
Unalitumia neno ''woga'' mara kadhaa dhidi yangu.
Mimi jasiri.
Mimi si mwoga na ndiyo maana unaona hapa natumia jina
langu halisi: Mohamed Said.
Si jina tu hata picha zangu nyingi zipo hapa Majlis.
Nakupa changamoto na wewe jitokeze katika jina lako halisi
ikiwa wewe sisi mwoga.
Siyo enzi hizo hata sasa wafanyabiashara wengi ni waislam.nenda sokoni utawakuta wengimbona hapo sokoni naona Kanzu tu-au ndo walikuwa wafanya biashara pekee
Gangogine,BASI BWANA SITAPOTEZA MUDA KUBISHANA NAWE. HUNA HOJA ZA MSINGI ZAIDI YA UBISHI TU
co-op.
P