kariakoo, China

Mbona sioni mzani!? Au wanapanga kwa mafungu badala ya kupima kwa mizani
 
wanapatikana mtaa gani nitie maguu huko si unajua kijijini kwetu hzo sikosi buku 20 kwa kila moja hasa hizo touch.
 
wanapatikana mtaa gani nitie maguu huko si unajua kijijini kwetu hzo sikosi buku 20 kwa kila moja hasa hizo touch.
Hapo sio Bongo labda ufunge safari, ni kama kariakoo ya china.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…