Karatu shwari Chadema imefunika!

Karatu shwari Chadema imefunika!

olevaroya

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
1,224
Reaction score
512
Kamanda Mbowe amefunika Karatu! Pia ameanzisha mchango wa ujenzi ofisi za Karatu imechangishwa zaidi million 40. Chadema itaendelea kuwa tumaini la wanyonge, mbinu zozote za kuivuruga Chadema hazitafanikiwa
 
Mkuu ungeweka hata kanyama nini kimeongelewa au wewe umeona hela tu zilizokusanywa?
 
Policcm hawakuleta madhara ya kitu kizito chenye ncha kali kweli??????
 
Back
Top Bottom