Karatu mjini nyama yapanda bei toka 9000 kwenda 10,000

KISS 100

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
524
1,097
Wasalamu, Juzi nilienda buchani nikatoa 9000 naambiwa kg 1 Kwa Sasa ni 10,000.

Mwaka huu vitu vinapanda bei Kila kukicha. Hatukatai vitu visipande bei ila frequency na tendency Kwa 2023 na 2024 graph ipo juu.

Sipati picha zile familia za watu kumi zaidi,inapidi ulipie 20,000 kg 2 uunge na nyanya nyingi na karoti watu wapate mboga.

Kiuchumi hii inaashiria nini wataalamu wa Mega Economic systems?
 
uku tunanunua 10,000 toka mwaka jana,,au n mm sijaelewa ni nyama gani
 
Mkuu fuga ng'ombe wako 😂😂😂😂 yan wabongo sometimes tunazingua, thread moja tunalalamika bei ya mazao ya kilimo chetu yapo chini hivyo kilimo hakina tija,
Thread ya pili tunalalamika bei ya mazao yetu ya kilimo ikipanda 😂😂😂 kwa hio mkuu unataka wakulima wa ng'ombe wale vipi ?
 
Wakulima wa ng'ombe?
 
Wasalamu, Juzi nilienda buchani nikatoa 9000 naambiwa kg 1 Kwa Sasa ni 10,000.

Mwaka huu vitu vinapanda bei Kila kukicha. Hatukatai vitu visipande bei ila frequency na tendency Kwa 2023 na 2024 graph ipo juu.

Sipati picha zile familia za watu kumi zaidi,inapidi ulipie 20,000 kg 2 uunge na nyanya nyingi na karoti watu wapate mboga.

Kiuchumi hii inaashiria nini wataalamu wa Mega Economic systems?
Kwanza nianze kumshukuru Mama kwa bei kushuka hadi elfu kumi kutoka elfu tisa!
 
Wasalamu, Juzi nilienda buchani nikatoa 9000 naambiwa kg 1 Kwa Sasa ni 10,000.

Mwaka huu vitu vinapanda bei Kila kukicha. Hatukatai vitu visipande bei ila frequency na tendency Kwa 2023 na 2024 graph ipo juu.

Sipati picha zile familia za watu kumi zaidi,inapidi ulipie 20,000 kg 2 uunge na nyanya nyingi na karoti watu wapate mboga.

Kiuchumi hii inaashiria nini wataalamu wa Mega Economic systems?
Mpo jirani na Mbuga za wanyama Wenzenu wanasafirisha Tembo na Twiga kwenda NJE ya NCHI Nyie ueni swala pofu na nyati
 
Wasalamu, Juzi nilienda buchani nikatoa 9000 naambiwa kg 1 Kwa Sasa ni 10,000.

Mwaka huu vitu vinapanda bei Kila kukicha. Hatukatai vitu visipande bei ila frequency na tendency Kwa 2023 na 2024 graph ipo juu.

Sipati picha zile familia za watu kumi zaidi,inapidi ulipie 20,000 kg 2 uunge na nyanya nyingi na karoti watu wapate mboga.

Kiuchumi hii inaashiria nini wataalamu wa Mega Economic systems?
Njoo hapa kwa Sele tuburudike nimechoma kilo tatu....the
 
Karatu kamji kamejaa vumbi kachafu hakaeleweki, na cha ajabu ngorongoro ipo huko inaingiza billions of money lakini mtaani watu masikini makazi duni...
Ila kwa viburudisho nambawani

Well said Mkuu mji kama karatu ulitakiwa kufanana na Livingstone kule Victoria falls Zambia.....

Ila uchoyo na kujaza matumbo imetufikisha hapa
 
Wasalamu, Juzi nilienda buchani nikatoa 9000 naambiwa kg 1 Kwa Sasa ni 10,000.

Mwaka huu vitu vinapanda bei Kila kukicha. Hatukatai vitu visipande bei ila frequency na tendency Kwa 2023 na 2024 graph ipo juu.

Sipati picha zile familia za watu kumi zaidi,inapidi ulipie 20,000 kg 2 uunge na nyanya nyingi na karoti watu wapate mboga.

Kiuchumi hii inaashiria nini wataalamu wa Mega Economic systems?
Sijasomea uchumi ila nachojua gharama za maisha zimepanda na mfumuko wa bei unazidi kupaa juu

Yaani sasa hivi ukiwa na TEN asubuhi mchana imeisha
 
Back
Top Bottom