T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 13,140 Reaction score 30,592 Jul 18, 2015 #1 Wanajukwaa naomba mwenye contacts za karatu sekondari anipatie, kuna mdogo wangu amepangiwa hapo kujiunga kidato cha tano lakini hajapa form ya join instruction.Nikipata contacts za headmaster au mwalimu yeyote wa hapo ntashukuru sana.
Wanajukwaa naomba mwenye contacts za karatu sekondari anipatie, kuna mdogo wangu amepangiwa hapo kujiunga kidato cha tano lakini hajapa form ya join instruction.Nikipata contacts za headmaster au mwalimu yeyote wa hapo ntashukuru sana.