Jamani naombeni kuuliza kwa waliowahi kufanya interview katika kiwanda cha viatu cha Moshi, maana tangu interview kufanyika tumesubiri mpaka leo kwa mwenye taarifa zaidi anijuze.
Jamani naombeni kuuliza kwa waliowahi kufanya interview katika kiwanda cha viatu cha moshi, maana tangu interview kufanyika tumesubiri mpaka leo kwa mwenye taarifa zaidi anijuze
Jamani naombeni kuuliza kwa waliowahi kufanya interview katika kiwanda cha viatu cha moshi, maana tangu interview kufanyika tumesubiri mpaka leo kwa mwenye taarifa zaidi anijuze
Tangazo lilitolewa tena january 20 ila wa mwanzo walifanya interview desemba wakapata machine operators na wakatoa tena tangazo january 20 nlituma sikuitwa ata kweny interview