Jackson nyamhanga sambai
Senior Member
- Apr 25, 2018
- 101
- 48
Natafuta mteja Wa kumtumia karanga nyeupe kwa bei ya Jumla 1300 per kg,mkoa wowote,maongezi zaidi WhatsApp 0789139153
Ukimpata nitumie na mimi za kuonja
Picha hiyoWeka picha mkuu
Nicheki WhatsAppUpo wapi, gharama za kutuma ni za nani, kiwango cha chini cha unacho tuma ni kilo ngapi, malipo yanafanyikaje?
Huna nyekundu
Na zinapopatikana hufahamu mkuuHapana boss
Zinapatikana zambiaNa zinapopatikana hufahamu mkuu
Kiongozi habari za muda ndg naomba kufahamu kama unajua wapi pumba ya mahindi inapatikana mkuu natanguliza shukraniZinapatikana zambia
Unanunua kilo sh ngapi na unapatikana wp pia unahitaji tani ngapKiongozi habari za muda ndg naomba kufahamu kama unajua wapi pumba ya mahindi inapatikana mkuu natanguliza shukrani