karaha na mazuri ya sehemu za maakuli

queenkami

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2010
Posts
1,857
Reaction score
1,407
hey guyz.najua mtu unapokua kazini au ktk mihangaiko yako ya kila siku kuna mahala fulani unakwenda kupata lunch.sasa swali langu ni kwamba je hapo mahali unapokula lunch yako ni kitu/vitu gani vinavyokukera kiasi cha kujikuta unakula hapo basi tu lkn hufurahii na ni vitu gani vinakufurahisha.
thanx.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…