acha kupotosha jukwaa
JONASON .. Daz baba anatumia unga toka kitambo.. mwaka 2010 nlisoma advance na binamu yake, kuna likizo nli hang out nao sana tu.. kiufupi ilikua kama ukoo wao mzima wanatumia hii makitu, kuna kipindi kaka yake huyu mshkaji wangu alitoka UK na demu wake mzungu sijui ndo alileta 'mzigo wa mbele' maana daz alikua akiusifu sana akawa analalamika bongo wanauziwa vumbi..
kama ni mshkaji wako na unasema hatumii madawa then unatuongopea hapa jukwaani, i have seen him and his crew doing drugs na si mara moja mkuu.. labda useme ameacha which i'll highly doubt.