Nimepata kicheko cha kulalia usiku huu, wadada mnapenda ma-title ndio maana mnadanganyika kila kukicha, mkisikia mtu yuko Marekani basi huwa mnaona si ndio hapo mmepata...ahaa ahaa eti anafanya kazi karibu na Obama na huyo rafiki yako naye akakubali kabisa ujinga huu naye akaingia kingi....kazi kweli kweliJamaa anadai yeye ni diplomat anafanya kazi karibu sana na obama halafu kamkataza rafiki yangu kamwe asijarikumtumia msg labda kubipu tuu eti msg huwa zinachunguzwa ofisini kwao kisa yupo ofisi moja na obama.
hivyo vitu shost alivigawa kipindi hichohicho kwa hasira maana hakutegemea, baadae ndio anakuja kudaiStory inachanganya sana ndugu yangu.( masifa yamekuwa mengi mno)
Kwa kifupi tu mwambie shost arudishe hiyo simu, blauzi 2 na suruali 1 ya kitambaa. Afu amwambie huyo diplomat asimsumbue tena coz keshakuwa mke wa mtu.
jamaa hajui maisha shost sio yale tena anajua bado anafanya kazi na anatumia kimeo chake alichomleteaLoly
So many contradictory "facts" , which just dont jive.................. to mention a few;
Duh, anyhow hebu tusubiri ushauri kwa ma "great thinkers"
- Shosti katulia, mrembo, ametunzwa kimaadili yet she went and rented a room for a man she met online that she knew nothing off
- Shosti kaolewa ana mume mzuri and so forth yet she is bothered by the fact that jamaa kamfungia madirisha alivyorudi US!!?
- Shosti anatishiwa na jamaa kuchuafuliwa na kuharibiwa kazi yet she is her own boss and works for no one
- Shosti anadaiwa simu, as per jamaa simu is hacked yet simu yenyewe ni kimeo, kwanza hatumii tena
Nimepata kicheko cha kulalia usiku huu, wadada mnapenda ma-title ndio maana mnadanganyika kila kukicha, mkisikia mtu yuko Marekani basi huwa mnaona si ndio hapo mmepata...ahaa ahaa eti anafanya kazi karibu na Obama na huyo rafiki yako naye akakubali kabisa ujinga huu naye akaingia kingi....kazi kweli kweli
Loly
So many contradictory "facts" , which just dont jive.................. to mention a few;
Duh, anyhow hebu tusubiri ushauri kwa ma "great thinkers"
- Shosti katulia, mrembo, ametunzwa kimaadili yet she went and rented a room for a man she met online that she knew nothing off
- Shosti kaolewa ana mume mzuri and so forth yet she is bothered by the fact that jamaa kamfungia madirisha alivyorudi US!!?
- Shosti anatishiwa na jamaa kuchuafuliwa na kuharibiwa kazi yet she is her own boss and works for no one
- Shosti anadaiwa simu, as per jamaa simu is hacked yet simu yenyewe ni kimeo, kwanza hatumii tena
Huu ujiko wa kuwaringia wenzenu kuwa, "Mchumba angu yuko Marekani" unawatokea wengi puani, kuna mmoja alijikuta anazeeka na jamaa kila siku anamdanganya kuwa atamtumia tiketi............... Mpaka leo bado anasubiri atumiwe tiketi na ameshafikisha 40!
but duh....hiyo ya kufanya kazi ofisi moja na Obama ni KALI KUPITA KIASI.....
Mnadanganyikaje na uwongo wa kitoto hivyo??????????
Unajua wakati mwingine unaweza kuandika stori, halafu ukaiyona ni ndefu. Tatizo ni pale unapo-summarize ndipo kasoro kama hizo hujitokeza. hata mimi huwa napata tabu wakati mwingine kufanya summary ili nisiwachoshe Ma-Great Thinker......... Kikubwa ni kuelewa, na ninaamini wengi wetu tumeelewa, labda tujitie hamnazo..................Lol