Huyu sio mwizi ila ni mpambe tu.....! na huenda hata upambe hana ila anatafuta kiki awe mpambe siku za usoni na hii ni kutokana na hali ngumu ya maisha, watu wamekata tamaa wanaona bora iwe vyovyote ilimradi nao waambulie
Kinana alisema,'Mafisadi CCM wapo kama asilimia sita tu, ndio wanachafua chama' Huyu hayupo na hawezi kuwa, muhurumie tu
Imejenga barabara zinazodumu miezi mitatu tu halafu zinazidi kuwa mbovu kuliko awali, imejenga nyumba za walimu zenye vyumba viwili kwa thamani ya milioni 98 kila moja, hospital na chuo kama UDOM ambavyo kabla kukamilika vimeanza kukarabatiwa,...