Kanuni 30 kwa wanawake ndani ya ndoa

Wanakuja
 
Ahsante kwa ujumbe Mtani. Nikazie hiyo namba 08 tu hapo kwa kusema tu siku huwa hazifanani.

Japo hiyo haiwahusu wale Me ambao akishapita ule mshahara wa mwisho wa mwezi basi hapo ndio mwisho wa kuona hela yake yaani kila anayoipata inaishia Bar au kwa Mipango ya Kando na hao hawapaswi kutiwa moyo hata kidogo.
 
Sawa mtani
 
Hilo siwezi mana mimi ni mkristu na naheshimu ahadi ya ndoa, so huyu ndiye wangu mpaka kifo pamoja na udhaifu huu, yaweza pia kuwa hata yeye kuna vitu hapendezwi navyo juu ya mimi lakini ana umivumilia
Naye mvumilie
 
Mmh hata kwenye ajira masharti hayako hivii,,
 
Wamepata darassa la kwenda kuigigiza ili waolewe hivyo ni vipaumbele kipindi cha kupiga campaign kuelekea kunako ndoa,wakishaingia ndoani mambo huwa tofauti kama utndaji wa wana ufipa.
 
Jambo la msingi sana niko bar kajirengesha mtoto mzuri nikamchomolea kwa dharau ooh mimi nina mke. Nikaita mtu wajikoni achome nyama kabiasa niende nayo home. Kilicho nikuta baada ya kufika home nilitamani kurui bar nimsake yule demuf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…