Nilimpenda sana Kanumba na pia nilipenda pia kazi zake.
Ni majonzi makubwa sana kifo chake na daima nitamkumbuka.
Ili naona kama the media has exaggerated the whole arrangement. Sasa hivi umekuwa kama msiba wa kitaifa kind of.
Vipi Kuhusu mzee wetu Kipara aliyetutoka juzi juzi? Nafihiri inabidi kutumia media vizuri
Nawakilisha