assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Unatoaje jina la aliyejitoa? Alitaka wamtoe apinge mohakamani, aweke pingamizi azuie mkutano mkuu, wamemshtukia wakamwacha akakwama. sasa kasepa mwenyewe.
Mkuu taarifa nilizo nazo kashajitoa
Cdm ni mali ya wachaga yeye alifuata nn huko?
kuna taarifa mh kansa mbarouk jina lake litazuiwa kugombea uenyekiti.
habari zinazidi kudai kuwa anaushawishi mkubwa kuliko wagombea wengine hivyo strategy iliopangwa ni kumhusisha na ACT kisha jina likatwe.
tahadhari: haki ni muhimu kwa kila mtu na bias ni hatari kwa taifa
jamaa lazima awe mwenyekiti watake wasitake
Si kweli ! Waanzilishi ni wachaga, lakini si ya wachaga. Kila kitu kina mwanzo, na ukianza unatafuta watu ambao mna nia moja kwanza, then mnawavuta wengine to join hands kama CDM ilivyo sasa