Kanizidi umri

Mi nilizani amekuzidi miaka kumbe ni miezi!!!!Mi nina mtu namfahamu amepitwa miaka 20 na mumewe lakini wapo powa tu!!!!
 
Mi nilizani amekuzidi miaka kumbe ni miezi!!!!Mi nina mtu namfahamu amepitwa miaka 20 na mumewe lakini wapo powa tu!!!!sembuse wewe anakuzidi miezi kadhaa!!!!
 
imeandikwa wapi hii?
 
Chunguza utabanini......
Angalia ktk familia zooote za watu wazima....Baba na wamama wanaotangulia kuondoka nani....
 

Oa tu wala umri huo sio tatizo kubwa kama mnapendana.
 
Umri sio tatizo, ni sawa kabisa hakuna tatizo lolote
 
Miezi 9 au miaka 9?
Miezi tisa nao ni umri wa kushindwa kumuoa mtu, hujaamua na wala humpendi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…