Faru Juma
Member
- Mar 11, 2018
- 31
- 25
Kuna wanawake wengine nahisi akili zao zipo kwa papuchi sio kichwani kwa kweli. Juzi kati nilimuona binti mmoja mkali kisawasawa nikammezea mate.
Bahati nzuri kuna rafiki yake ni msichana wa msela wangu nikachangamkia fursa kwa kumuomba aniungie kwa huyo msichana mkale.
Kabla ya yote nikamuuliza kama ameolewa akaniambia hajaolewa ila amezaa na jamaa fulani ambae nae ana mke wake.
Nikapima nikaona hapo shida hamna acha nilambe dodo. Basi akafanya mishe na mimi nikamalizia kupiga penati kwa maneno machache mtoto akaingia kingi.
Bila kuchezea muda nikapanga nae appointment akaja geto nikala mzigo usiku kucha mpaka nikakinai.Ilipofika asubuhi akapigiwa simu na huyo jamaa kumbe shilawadu washafanya yao jamaa kajua msichana wake kaliwa.
Mimi nilikua pembeni yake nasikilizia wanavyolumbana na kitabasamu changu wala sina habari maana kazi yangu nishakamilisha.Baada ya simu msichana akaanza kunigombeza eti nimemuharibia CV.
Mi sio mtu wa maneno mengi ila ni mtekelezaji mzuri sana wa majukumu sijabishana nae nikamwambia twende tukaoge usepe asije kufata hapa nikakatwa mapanga ya uume wangu bure.
Baada ya kuoga nikamsindikiza hatua mbili nikamkodia bodaboda na buku mbili ya supu nikamshikisha mkononi. Sasa nashindwa kuelewa kosa langu ni lipi mpaka nistahili lawama zote au ndo dada zetu hawajielewi?
Wasalaam King Faru