Na wewe nae! Umeletewa tu udaku hakuna hata source wala ushahid ushaanza!Hata kama kila mtu ana uhufu wa kuabudu hii sasa imevuka mipaka hawa ndo wale biblia inaowataja kua MANABII WA UONGO hawana tofauti na wasabato masalia. Watu kama hawa wanatakiwa wachapwe viboko maana wanazidi kulisababishia taifa umasikini. Ukisikia "religion is an opium of the people" hapo ndo inafanya kazi.
Kanisa la tag mwanza , liloko nyegezi mwanza linaloongozwa na mchungaji mbuke, leo wamefanya ibada ya kuteketeza pesa kwa moto kwa madai ya kua bwana atasikiliza maombi yao. Waumini wengi wameshiriki ibada hiyo ambayo inaendelea hadi hivi sasa. Hii ni mbaya ya 2011