Kanisa la Living Water lapora ardhi ya mjane Mwanza, Mongera akope maarifa ya RC Makonda kusaidia wanyonge!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,959
141,951
Imeripotiwa kuwa Huduma ya Living Water imepora ardhi ya mama mjane huko Mwanza na kumdhibiti asiweze kufuatilia haki zake. Hata hivyo majirani wamesema ardhi hiyo ni ya mama huyo mjane na kwamba Living Water wamevamia na hivyo wamemwomba mkuu wa mkoa asaidie " nadhani" kama afanyavyo RC Makonda. Source ITV habari!
 
The ultimate justice will be done in the court of law! haya ya makonda ni maigizo kwa "maiti wanaotembea" aliowakusanya kwenye ukumbi.
 
Imeripotiwa kuwa Huduma ya Living Water imepora ardhi ya mama mjane huko Mwanza na kumdhibiti asiweze kufuatilia haki zake. Hata hivyo majirani wamesema ardhi hiyo ni ya mama huyo mjane na kwamba Living Water wamevamia na hivyo wamemwomba mkuu wa mkoa asaidie " nadhani" kama afanyavyo RC Makonda. Source ITV habari!

Duh aisee akili zako ziko tunduni
 
Imeripotiwa kuwa Huduma ya Living Water imepora ardhi ya mama mjane huko Mwanza na kumdhibiti asiweze kufuatilia haki zake. Hata hivyo majirani wamesema ardhi hiyo ni ya mama huyo mjane na kwamba Living Water wamevamia na hivyo wamemwomba mkuu wa mkoa asaidie " nadhani" kama afanyavyo RC Makonda. Source ITV habari!
amekuwa mfano wa kuigwa baada ya vijembe vya kutosha,mungu mwema sana aisee
 
Mongella is waaaaayyy smarter than that! Hebu mtake radhi! Kama kushughulikia atashughulikia lakini si kwa kukopa akili!
 
Back
Top Bottom